- Health
Tatizo la kukosa Usingizi kutokana na Umri Mkubwa
Kwa kadiri tunavyozeeka ndivyo matatizo ya kupata usingizi nayo yanavyoongezeka. Mara nyingi wazee hulala mapema na huamka mapema, au kulala usingizi usio mnono wa kushtuka shtuka nyakati za usiku.
By Freddy Meela