Kwa kozi ya pharmacy, vigezo ni d (4) zinahitajika ila d (2) lazima ziwe za biology na chemistry na d nyingine (2) za masomo ya kawaida isipokua ya dini
Kwa kozi ya clinical medicine vigezo ni d (4) zinahitajika ila d (3) lazima ziwe za biology, chemistry na physics d nyingine ya masomo ya kawaida isipokua ya dini.