Search
Generic filters

Nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2022/2023.

Share on facebook
Share on twitter
Share on whatsapp
Share on email
Share on print

Mkuu wa chuo Cha NOBO COLLEGE OF PHARMACY anawatangazia nafasi za kujiunga na masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023.

Vigezo ni D nne zinahitajika Ila D mbili za Biology na Chemistry ni lazima na D nyingine mbili za masomo ya kawaida.

Ada pamoja na michango yote ni 2,547,400/=.
Ulipwaji ni kwa awamu nne;
1. 997,400/=
2. 450,000/=
3. 650,000/=
4. 450,000/=
Chuo kipo Tabata-Segerea, Dar es salaam.

Kwa mawasiliano zaidi tumia namba hizi za msajili wa chuo 0744 099 544 , 0625 526 823 na 0674204800.

Hosteli kwa wanaotoka mbali zipo, bila kusahau nafasi za kuhamia zipo kwa level zote, nyote mnakaribishwa.
Chuo kinapatikana Tabata Segerea, Dar es Salaam.

About Us

Nobo Is a Pharmaceutical College of its own kind that will see the dream of transformation of young hearts and minds through a unique learning experience come to reality….

NACTE Registration Number – REG/HAS/192

Academics

Research & Consultancy

Facilities

Online Portal

Contact Info

© Nobo College of Pharmacy 2022. All rights reserved.

Search
Generic filters