Mkuu wa Chuo Cha NOBO COLLEGE OF PHARMACY anawatangazia nafasi za kujiunga na masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023.
Vigezo ni D nne zinahitajika Ila D mbili za Biology na Chemistry ni lazima na D nyingine mbili za masomo ya kawaida.
Ada pamoja na michango yote ni Tsh. 2,547,400/=
Ulipwaji ni kwa awamu nne;
1. 997,400/=
2. 450,000/=
3. 650,000/=
4. 450,000/=
Chuo kipo Tabata-Segerea, Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi tumia namba hizi za msajili wa chuo 0744 099 544 , 0625 526 823 na 0674204800.
Hosteli kwa wanaotoka mbali zipo, bila kusahau nafasi za kuhamia zipo kwa level zote, nyote mnakaribishwa.
Chuo kinapatikana Tabata-Segerea, Dar es Salaam.