Kujiunga Na Kozi Za Clinical Medicine & Pharmaceutical Science Kwa Ngazi Ya Cheti Na Diploma Kwa Mwaka Wa Masomo 2023/2024.

Kwa kozi ya pharmacy, vigezo ni d (4) zinahitajika ila d (2) lazima ziwe za biology na chemistry na d nyingine (2) za masomo ya kawaida isipokua ya dini Kwa kozi ya clinical medicine vigezo ni d (4) zinahitajika ila d (3) lazima ziwe za biology, chemistry na physics d nyingine ya masomo ya kawaida […]
Nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2022/2023.

Mkuu wa chuo Cha NOBO COLLEGE OF PHARMACY anawatangazia nafasi za kujiunga na masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Vigezo ni D nne zinahitajika Ila D mbili za Biology na Chemistry ni lazima na D nyingine mbili za masomo ya kawaida. Ada pamoja na michango yote ni 2,547,400/=.Ulipwaji ni […]