Tatizo la kukosa Usingizi kutokana na Umri Mkubwa

Kwa kadiri tunavyozeeka ndivyo matatizo ya kupata usingizi nayo yanavyoongezeka. Mara nyingi wazee hulala mapema na huamka mapema, au kulala usingizi usio mnono wa kushtuka shtuka nyakati za usiku. Lakini pamoja na kukosa usingizi, na kuamka kila siku ukijisikia mchovu, pamoja na dalili nyingine, kukosa usingizi siyo hali ya kawaida  kiafya. Usingizi ulio bora ni […]

Spika za Masikioni zaweza kusababisha Uziwi

Sauti kutokana na matumizi mabaya ya spika za masikioni (earphones & headphones) zaweza kutuweka katika hatari ya kupata uziwi. Katika zama hizi za maendeleo ya digitali, kumekuwepo ongezeko la matumizi la vifaa vya kielektroniki kama rununu, runinga na kompyuta. Matumizi ya vifaa hivi huambatana na spika za mezani pamoja na spika za masikioni ili kumraisishia […]

Kwanini watoto hupoteza hamu ya kula?

Kukosa hamu ya kula ni tatizo la kawaida kwa watoto ambalo hupelekea wazazi wengi kuwa  na wasiwasi juu ya afya ya watoto wao.Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha  kukosa hamu ya kula na tatizo hili linapojitokeza tunatakiwa kuwa watulivu na kujaribu kuchunguza kwa makini ni kwa nini mtoto anakosa hamu ya kula. Baadhi ya sababu zaweza […]

Umuhimu wa Folic Acid kwa mama Mjamzito

Folic acid ni aina ya Vitamini B9 ambayo huchanganyika na maji. Vitamini hii ni muhimu katika utengenezaji wa dutu za jeni (nucleic acid). Vitamini hii ni mojawapo ya vitamini B complex, kama ilivyo vitamini B12. Vitamin B9 ni muhimu katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu, huzuia magonjwa ya uziwi(kupoteza kusikia), na hulinda afya ya ubongo mtoto aliye […]