Nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2023/2024.

Mkuu wa Chuo Cha NOBO COLLEGE OF PHARMACY anawatangazia nafasi za kujiunga na masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Vigezo ni D nne zinahitajika Ila D mbili za Biology na Chemistry ni lazima na D nyingine mbili za masomo ya kawaida. Ada pamoja na michango yote ni Tsh. 2,547,400/= […]

Nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2022/2023.

Mkuu wa Chuo Cha NOBO COLLEGE OF PHARMACY anawatangazia nafasi za kujiunga na masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Vigezo ni D nne zinahitajika Ila D mbili za Biology na Chemistry ni lazima na D nyingine mbili za masomo ya kawaida. Ada pamoja na michango yote ni Tsh. 2,547,400/= […]