Ruka hadi maudhui
Nobo College

Clinical Medicine

Train as a clinical officer: diagnose, treat and refer patients in hospitals, health centres and dispensaries.

Kuhusu programu

The Clinical Medicine programme prepares students to work as clinical officers in Tanzania's health system. Students learn to take histories, examine patients, diagnose and manage common conditions, and refer complicated cases, with supervised practice in health facilities throughout the course.

Sifa za kujiunga

Mhitimu wa Elimu ya Sekondari (kidato cha nne) mwenye ufaulu wa angalau masomo manne (4) yasiyo ya dini, yakijumuisha Kemia, Baiolojia na Fizikia/Sayansi za Uhandisi. Ufaulu katika somo la Hisabati na Lugha ya Kiingereza ni sifa ya ziada.

Fursa za ajira

  • Clinical officer in hospitals, health centres and dispensaries
  • Public and private health facilities, NGOs and community health programmes
  • Progression to higher NTA levels and further clinical training

Uko tayari kujiunga nasi?

Maombi hufanywa mtandaoni kwa dakika chache. Anza leo au wasiliana na ofisi ya udahili.